Christian Eriksen Kupandikizwa Betri Kifuani-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Christian Eriksen Kupandikizwa Betri Kifuani-Michezoni leo

Mchezaji wa timu ya taifa ya Denmark, Christian Eriksen anatarajiwa kupandikizwa betri ndogo maalumu ya kufuatilia mapigo yake ya moyo na kuzalisha umeme unaoendesha moyo pale itakapotakikana.

Daktari wa mchezaji huyo, Morten Boesen amethibitisha kuwa licha ya kwamba mchezaji huyo sasa anaendelea vizuri lakini kifaa hicho kinachofahamika kwa kimombo kama ‘Cardioverter Defibrillator (ICD)’ kinatarajiwa kupachikwa maeneo ya kifuani kwake.

Wiki iliyopita mchezaji huyo alipata mshtuko wa moyo ‘cardiac arrest’ na kuanguka uwanjani akiwa anachezea timu yake ya Taifa  dhidi ya Finland katika mechi za kuwania kombe la Euro 2020.

Mchezaji huyo ambaye pia anachezea klabu ya Inter Millan ya nchini Italia nusura apoteze maisha iwapo asingepatiwa huduma ya kufufua moyo na mapafu viweze kufanya kazi tena yaani CPR.

Stori: Mushi Gabriel | GPL

The post Christian Eriksen Kupandikizwa Betri Kifuani appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz