Breaking News: Adhabu Ya Mwakalebela Yatenguliwa na TFF-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Breaking News: Adhabu Ya Mwakalebela Yatenguliwa na TFF-Michezoni leo

MAKAMU Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Fedrick Mwakalebela leo Juni 24, 2021 ameshinda kesi ya maombi ya marejeo mbele ya kamati ya maadili ya TFF  dhidi ya hukumu ya kufungiwa miaka mitano kujishughulisha na mpira wa miguu ndani na nje.

Kamati hiyo iliyoketi  Juni 23, imeridhia kumuondolea adhabu ya kifungo cha miaka mitano Pamoja na faini ya jumla ya sh. milioni saba.

Mwakalebela katika katika maombi yake amesema  anajutia kosa  hivyo anaomba aondolewe adhabu hiyo amabyo ameitii kwa kipindi chote, aliomba apewe fursa nyingine ya kutumikia  mpira wa miguu.

The post Breaking News: Adhabu Ya Mwakalebela Yatenguliwa na TFF appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz