BRAZIL YATINGA ROBO FAINALI BAADA YA KUICHAPA COLOMBIA 2-1-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

BRAZIL YATINGA ROBO FAINALI BAADA YA KUICHAPA COLOMBIA 2-1-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
WENYEJI, Brazil wamefuzu Robo Fainali ya Copa America baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Colombia katika mchezo wa Kundi B usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Nilton Santos Jijini Rio de Janeiro.
Mabao ya Brazil yamefungwa na Roberto Firmino dakika ya 78 akimalizia pasi ya Renan Lodi na Casemiro dakika ya 90 na ushei akimalizoa pasi ya Neymar, wakati la Colombia limefungwa na Luis Díaz dakika ya 10 akimalizia pasi ya J. Cuadrado.
Brazil inafikisha pointi tisa baada ya kucheza mechi tatu ma kuendelea kuongoza kundi hilo, ikifuatiwa na Colombia yenye pointi nne za mechi nne, Peru pointi nne pia, Ecuador na Venezuela pointi mbili kila timu baada ya kucheza mechi tatu wote pia.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz