Bocco Mchezaji Bora Simba Mwezi Mei-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Bocco Mchezaji Bora Simba Mwezi Mei-Michezoni leo

Nahodha John Bocco ameibuka kidedea kwenye kinyang’anyiro cha Mchezaji Bora wa Mwezi wa Mashabiki (Emirate Aluminium Simba Fans Player of the Month) baada ya kupata kura nyingi.

Bocco amewashinda kiungo mshambuliaji Bernard Morrison na kiungo mkabaji Taddeo Lwanga ambao waliingia fainali kwenye kinyan’ganyiro hicho.

Tuzo hiyo inadhaminiwa na Kampuni ya Emirate Aluminium Profile ambapo wachezaji watatu huingia fainali na kupigiwa kura na mashabiki kupitia tovuti hii ya klabu.

Bocco atakabidhiwa kitita cha Sh 1,000,000 na Emirate Aluminium kama zawadi ya ushindi.

Mchanganuo wa kura zilivyopigwa:

John Bocco – 3, 942 (59.3%)

Bernard Morisson – 1,956 (29.4%)

Taddeo Lwanga kura 744 (11.3%)

The post Bocco Mchezaji Bora Simba Mwezi Mei appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz