Biashara Yawaita Yanga Wafanye Biashara ya Kipa-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Biashara Yawaita Yanga Wafanye Biashara ya Kipa-Michezoni leo

UONGOZI wa Biashara United, umeweka wazi ikiwa mabosi wa Yanga wanahitaji saini ya kipa wao namba moja, Daniel Mgore ni suala la kukaa mezani ili kufanya mazungumzo.

Imekuwa ikielezwa kuwa, Yanga inahitaji kuboresha kikosi chao hasa upande wa mlinda mlango baada ya kipa wao namba moja, Metacha Mnata kusimamishwa kutokana na utovu wa nidhamu, huku mkataba wake ukielekea ukingoni.

Pia katika kikosi hicho, Faroukh Shikalo na Ramadhan Kabwili ambao ndiyo makipa waliobaki, nao mikataba yao inaelekea kumalizika mwishoni mwa msimu huu.Akizungumza na Spoti Xtra, Mwenyekiti wa Biashara United, Seleman Mataso, alisema:

“Hakuna ambaye anaweza kumzuia mchezaji, huyu Mgore tumemkuza wenyewe kutoka timu ya vijana, kama kuna timu inamuhitaji iwe Yanga ama Azam FC, ni suala la kuzungumza.”

STORI: LUNYAMADZO MLYUKA, DAR

The post Biashara Yawaita Yanga Wafanye Biashara ya Kipa appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz