BIASHARA UNITED YALAZIMISHWA SARE YA KUFUNGANA 1-1 NA NAMUNGO FC MUSOMA LEO KATIKA LIGI KUU -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

BIASHARA UNITED YALAZIMISHWA SARE YA KUFUNGANA 1-1 NA NAMUNGO FC MUSOMA LEO KATIKA LIGI KUU -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 TIMU ya Biashara United imelazimishwa sare ya 1-1 na Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Karume, Musoma mkoani Mara.
Lenny David Kisu alianza kujifungia dakika ya tatu tu kuipatia Namungo FC bao la kuongoza, kabla ya Dennis Nkane kuisawazishia Biashara United dakika moja tu baadaye.
Kwa matokeo hayo, Biashara United inafikisha pointi 46 baada ya kucheza mechi 31, ingawa inabaki nafasi ya nne ikizidiwa pointi 14 na Azam FC, wakati Namungo FC inafikisha pointi 42 baada ya kucheza mechi 31 na kusogea nafasi ya tano.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz