BEKI WA KUSHOTO WA AKADEMI, PASCHAL MSINDO ASAINI MKATABA WA MIAKA MITATU TIMU YA WAKUBWA AZAM FC-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

BEKI WA KUSHOTO WA AKADEMI, PASCHAL MSINDO ASAINI MKATABA WA MIAKA MITATU TIMU YA WAKUBWA AZAM FC-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
BEKI wa kushoto chipukizi wa timu ya vijana chini ya umri wa miaka 20 ya Azam FC, Paschal Msindo amesaini mkataba wake wa kwanza rasmi wa miaka mitatu wa kuitumikia timu ya wakubwa ya klabu hiyo.
Msindo aliyepandishwa timu kubwa kutokea timu yetu ya vijana (Azam FC U-20), ameshacheza mechi tatu za mashindano za Azam FC, akifanikiwa kuonyesha kiwango kizuri.
Na kwa kusaini mkataba huo, Msindo ataendelea kusalia kwenye viunga vya Azam Complex hadi mwaka 2024.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz