Azam: Kama si Ubingwa Basi Nafasi ya Pili-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Azam: Kama si Ubingwa Basi Nafasi ya Pili-Michezoni leo

UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa mipango yao ni kuhakikisha wanamaliza Ligi Kuu Bara katika nafasi mbili za juu katika msimamo ukiwemo ubingwa katika msimu huu.

Azam hadi sasa ipo nafasi ya tatu huku ikiwa na pointi 60 katika msimamo wa ligi ikiongozwa na Yanga yenye pointi 61 huku kinara akiwa ni Simba wenye 67.

Akizungumza na Championi Jumatano, Ofisa Habari wa timu hiyo, Thabit Zakaria alisema kuwa upo uwezekano mkubwa kwao kupata nafasi ya pili kama watakosa ubingwa wa ligi.

“Maandalizi ya kumalizia mechi zetu zilizobaki bado yanaendelea kama kawaida na lengo letu ni kuhakikisha tunachukua nafasi ya pili kama tutakosa kuchukua ubingwa wa msimu huu.

Kwa upande wa kikosi kipo salama kambini isipokuwa baadhi ya wachezaji ambao waliumia katika mchezo wa kirafiki Never Tigere na Bryson Raphael lakini pia na Prince Dube ambaye ana malaria,” alisema Zakaria

HAWA ABOUBAKHARI NA FRANK BUNINI, DSJ

The post Azam: Kama si Ubingwa Basi Nafasi ya Pili appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz