AZAM FC YAMUONGEZEA MKATABA BRYSON RAPHAEL HADI 2O23 NA KUMSAJILI BEKI WA RUVU SHOOTING EDWARD CHARLES MANYAMA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

AZAM FC YAMUONGEZEA MKATABA BRYSON RAPHAEL HADI 2O23 NA KUMSAJILI BEKI WA RUVU SHOOTING EDWARD CHARLES MANYAMA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 KLABU ya Azam FC imemuongeza mkataba wa miaka miwili kiungo wake mkabaji, Bryson Raphael, huku pia ikimsajili beki wa Ruvu Shooting, Edward Charles Manyama.
Bryson amekuwa na kiwango kizuri msimu huu, akisifika kwa kasi yake ya ukabaji.
Kiungo huyo wa kimataifa wa Tanzania, kwa kusaini mkataba huo mpya ataendelea kusalia kwenye viunga vya Azam Complex hadi mwaka 2023.

Naye Manyama, amesaini mkataba wa miaka mitatu kuitumikia Azam FC kuanzia msimu ujao 2021/22 hadi 2023/24.
Azam FC pia imefanikiwa kufikia makubaliano na klabu yake, Ruvu Shooting ambayo imeridhia kijana akafanye kazi Chamazi.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz