AZAM FC YAMTIA PINGU NYOTA WAKE MWINGINE, YAMSAINISHA AYOUB LYANGA MKATABA MPYA WA MIAKA MIWILI ATADUMU CHAMAZI HADI 2024-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

AZAM FC YAMTIA PINGU NYOTA WAKE MWINGINE, YAMSAINISHA AYOUB LYANGA MKATABA MPYA WA MIAKA MIWILI ATADUMU CHAMAZI HADI 2024-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
KLABU ya Azam FC imemuongezea mkataba mpya wa miaka miwili na kiungo wake mshambuliaji, Ayoub Lyanga.
Zoezi la kuingia mkataba huo baina mchezaji huyo limesimamiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa klabu, Abdulkarim Amin 'Popat'.
Lyanga aliyejiunga na Azam msimu huu akitokea Coastal Union ya Tanga ataendelea kusalia ndani ya viunga vya Azam Complex hadi mwaka 2024.


Katika msimu wake huu wa kwanza, Lyanga amechangia mabao 10 ndani ya Azam FC kwenye mashindano yote hadi sasa akiwa amefunga mabao saba na kutoa pasi mbili za mwisho za mabao kwenye Ligi Kuu ya Tanzania Bara, huku akitupia moja katika michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC).


Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz