AZAM FC YABEBA TUZO ZOTE ZA LIGI KUU MWEZI MEI KUANZIA MCHEZAJI, KOCHA HADI MENEJA BORA WA UWANJA -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

AZAM FC YABEBA TUZO ZOTE ZA LIGI KUU MWEZI MEI KUANZIA MCHEZAJI, KOCHA HADI MENEJA BORA WA UWANJA -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 BODI ya Ligi Tanzania (TPLB) imetaja vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara mwezi Mei, mwaka huu na Azam FC imebeba zote.
Mzambia George Lwandamina ametwaa tuzo ya Kocha Bora, mshambuliaji Mzimbabwe, Prince Dube Mpumelelo amebeba tuzo ya Mchezaji Bora, wakati Sikitu Kilakala amekuwa Meneja Bora wa Uwanja kwa mwezi huo.
Wakati Dube amewashinda Erick Mwijage wa Kagera Sugar na kipa wa Yanga SC, Metacha Mnata alioingia nao fainali, Lwandamina amewabwaga Mkenya Francis Baraza wa Kagera Sugar na Abdallah Mohamed wa JKT Tanzania.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz