Askari Watano wa JKT Washikiliwa Kwa Tuhuma za Mauaji - EDUSPORTSTZ

Latest

Askari Watano wa JKT Washikiliwa Kwa Tuhuma za MauajiJeshi la Polisi Mkoani humo linawashikilia Askari watano wa JKT kwa tuhuma za kumpiga hadi kumsababishia kifo Paulo Joseph(35)

Askari hao ambao walikuwa wakisubiri ajira baada ya kumaliza kipindi cha kujitolea walimtuhumu Paulo kumpiga Askari mwenzao

Watu wengine watano walipigwa na Askari hao akiwemo Michael Mrema, Dereva wa gari la abiria inayofanya safari zake kati ya Bweri na Mjini kati

Mkuu wa Kikosi cha Jeshi la Wananchi 27 KJ MAKOKO, Kanali Mushashi, ameahidi kushirikiana na wafiwa katika shughuli zote za msiba kwani waliohusika na mauaji wapo chini yake.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz