ARGENTINA YAPATA USHINDI WA KWANZA MICHUANO YA COPA AMERICA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

ARGENTINA YAPATA USHINDI WA KWANZA MICHUANO YA COPA AMERICA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
ARGENTINA imepata ushindi wa kwanza katika Copa America baada ya kuichapa 1-0 Uruguay katika mchezo wa Kudi A usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Taifa wa Brasilia, Distrito Federal.
Pongezi kwa mfungaji wa bao hilo pekee, kiungo wa Real Betis Guido RodrΓ­guez dakika ya 13 akimalizia pasi ya Nahodha na nyota mwenzake wa La Liga, Lionel Messi wa Barcelona.
Sasa Argentina ina pointi nne baada ya mechi mbili kufuatia sare ya 1-1 na Chile kwenye mchezo wa kwanza, wakati Uruguay ilikuwa inacheza mechi ya kwanza jana.
Mechi nyingine wa Kundi A jana Chile imeichapa Bolivia 1-0 bao pekee la mshambuliaji wa Blackburn Rovers, Benjamin Brereton dakika ya 10 Uwanja wa Pantanal, Cuiaba, Mato Grosso.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz