AMINA MNIGA AWA MWANAMKE WA KWANZA KUCHUKUA FOMU KUWANIA URAIS WA TFF KATIKA UCHAGUZI WA AGOSTI 7 TANGA -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

AMINA MNIGA AWA MWANAMKE WA KWANZA KUCHUKUA FOMU KUWANIA URAIS WA TFF KATIKA UCHAGUZI WA AGOSTI 7 TANGA -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 MWANAMAMA Amina Mniga amekuwa mwanamke wa kwanza kuchukua fomu kuwania Urais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) katika uchaguzi utakaofanyika Agosti 7, mwaka huu Jijini Tanga.
Amina ni kati ya wadau wapya watatu waliochukua fomu leo zinazotolewa kwa gharama ya Sh. 500,000 - wengine ni mmilili wa klabu ya African Lyon, Rahim Kangenzi na mwanahabari nguli, Ally Saleh.
Watatu hao wanafanya idadi ya jumla ya wagombea 10 wa nafasi ya Urais, wengine Rais wa sasa, Wallace Karia, Ally Mayay, Deogratius Mutungi, Oscar Oscar, Evans Mgeusa, Zahor Mohamed na Mbunge wa Kinondoni (CCM), Tarimba Abbas.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz