Alikamwe "Mambo 10 nilioyaona Ruvu Shooting vs Simba" - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Alikamwe "Mambo 10 nilioyaona Ruvu Shooting vs Simba"
1: Ruvu walikwenda Mwanza kufata FEDHA, Simba walikwenda Mwanza kufata POINTI 3. Kila timu imepata ilichotaka CCM Kirumba๐Ÿ™Œ

2: Didier Gomes alikwenda na '4-4-2 Diamond', Miquissone na Dilunga wakifanya kazi nzuri (Kulia na kushoto) katikati mwa kiwanja kuongeza 'Pressing' kwa mastraika wawili wa juu. Dakika 45 waliwaweka Ruvu kwenye mtego wao wa 'HighLine Defensive Plan'.

3: Mkwasa alikuja na 4-3-3 wakishambulia.. wakaswitch kwenye 4-5-1 bila mpira. Lakini katika Transition zote 2 hakukuwa na nidhamu ya maeneo. Timu haikuwa 'Fit', wakawa wanachelewa sana kufika kwenye maeneo. Nini kilifata?

4: Presha ikapanda. Utulivu ukapotea, wakaanza kucheza rafu za hovyo. Nafikiri Ruvu kukaa siku 17 bila mchezo wowote (hata wakirafiki) kuliwaathiri kwenye utimamu wa mwili kushindana na 'Intensity' ya Simba

5: Juma Nyosso Never change. Ni yuleyule. Kinachoongezeka kwake ni nidhamu mbovu na sio kiwango. Ni ajabu sana mchezaji wa aina yake kuwa Nahodha wa kikosi katika dunia ya sasa ya mpira.

6: Taddeo Lwanga yuko na hatua nzuri kwenye kusoma njia za mpira za wapinzani๐Ÿ™Œ Aliwalinda vyema Mabeki wa pembeni kwa kublock vision ya viungo wa Ruvu kupitisha mipira kwenye nafasi... Fantastic Perfomance๐Ÿ‘

7: Bocco. FANTASTIC CAPTAIN. What A Player. Uzoefu wake kwenye kunusa hatari kwenye boksi la mpinzani ndio iliwafanya Dabi agombane na kipa wake. Kosa moja, mpira kambani. What A Player

8: Bao la Mugalu ni uthibitisho mwingine kuwa Simba ni timu hatari inaposhambuliwa na sio inapomiliki mpira! Kivipi? Wana wachezaji wenye kasi, ubora wa kutumia 1v1 situation kutoa hukumu

9: Ben Morrison! Simba wakihitaji kupandisha tempo ya mechi, hutumia miguu yake. Ana kasi, maarifa na uwezo wa kucheza na akili ya mpinzani

10: Well done Tshabalala na Kapombe๐Ÿ‘ Well done Kennedy. Kadiri muda unavyozidi kwenda anazidi kujiamini kwenye maamuzi yake. Kazi nzuri William Patrick ๐Ÿ‘

Nb: June 3, Bao 3 .. Julai 3, Bao...๐Ÿ˜€


Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click ๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz