Yanga Yawapigisha Kwata Maafande wa JKT, Yawapiga 2 – 0-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga Yawapigisha Kwata Maafande wa JKT, Yawapiga 2 – 0-Michezoni leo

TIMU ya JKT Tanzania imeshindwa kufurukuta baada ya kuchapwa na Yanga kwa mabao 2-0 kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara, mchezo uliochezwa leo Mei 19, 2021 kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

Yanga ambao walionekana kucheza vizuri kipindi cha kwanza walifanikiwa kupachika bao la kuongoza kupitia kwa Yacouba Sogne dakika ya 27 ya mchezo.

Dakika mbili baadae wanajangwani walifanikiwa kuzifumania nyavu za JKT, kupitia kwa Tuisila Kisinda.

Kipindi cha pili JKT walionekana kucheza vizuri zaidi lakini hawakufanikiwa kupata goli.

Kwa matokeo hayo Yanga imefikisha alama 61 sawa na watani zao wa jadi Simba na kushika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi kuu wakitofautiana magoli ya kufunga na kufungwa.

The post Yanga Yawapigisha Kwata Maafande wa JKT, Yawapiga 2 – 0 appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz