Yanga: Namungo Wagumu Ila Watafia Kwao-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga: Namungo Wagumu Ila Watafia Kwao-Michezoni leo

BEKI wa kati wa Yanga, Dickson Job, amesema kuwa wana uhakika watapata ushindi mnono dhidi ya Namungo FC kwenye mchezo utakaochezwa kesho Jumamosi kwenye Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi.

Job amezungumza na gazeti hili kisha kusema hautakuwa mchezo rahisi kama ambavyo ilikuwa kwenye mechi zilizopita pindi walipokutana lakini hiyo siyo sababu ya wao kushindwa kufanya vema kwenye mchezo huo.

Akizungumza na Championi Ijumaa, Job alisema: “Mchezo hauwezi kuwa rahisi kwetu kwa sababu Namungo huwa wagumu sana wakiwa wanacheza kwenye uwanja wao, lakini naamini tutawafunga wakiwa kwenye uwanja huohuo.

“Kila mmoja ndani ya timu anafahamu umuhimu wa kupata matokeo ya ushindi kwenye mchezo huo. Mwalimu amejitahidi sana kutujenga kimbinu na naamini tukizifanyia kazi ipasavyo mambo yatakuwa mepesi kwetu.”

The post Yanga: Namungo Wagumu Ila Watafia Kwao appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz