Whozu afunguka kuhusu ujauzito wa Tunda - EDUSPORTSTZ

Latest

Whozu afunguka kuhusu ujauzito wa TundaKwa mara ya kwanza msanii Whozu amejibu taarifa zinazosemekana mitandaoni kwamba mpenzi wake Cappiccuno Tunda ni mjamzito kwa kusema mpenzi wake huyo sio mjamzito na hakuna kitu kama hicho.

Pia Whozu amesema tayari ameshaandaa jina endapo akipata mtoto ambapo atamuita Lora kwa sababu analipenda sana na tayari ameshachora tattoo ya jina hilo kwenye mwili wake.

"Lora ni jina ambalo nalipenda sana tangu nikiwa nasoma natamani kwenye maisha yangu nikipata mtoto wa kwanza au wa pili lazima aitwe Lora, Tunda hana ujauzito ila hapa nimeongea tu" amesema Whozu Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz