VILLARREAL WAISHINDA MAN UNITED KWA MATUTA NA KUTWAA TAJI LA EUROPA LEAGUE-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

VILLARREAL WAISHINDA MAN UNITED KWA MATUTA NA KUTWAA TAJI LA EUROPA LEAGUE-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
TIMU ya Villarreal ya Hispania imefanikiwa kutwaa taji la UEFA Europa League  baada ya ushindi wa penalti 11-10 dhidi ya Manchester United ya England kufuatia sare ya 1-1 ndani ya dakika 120 Uwanja wa Energa Jijini Gdańsk, Poland.
Gerard Moreno alianza kuifungia Villarreal dakika ya 29 akimalizia pasi ya Dani Parejo, kabla ya  Edinson Cavani kuisawazishia Man United dakika ya 55 akimalizia pasi ya Scott McTominay.
Waliofunga penalti za Villarreal ni Gerard Moreno, Dani Raba, Paco Alcácer, Alberto Moreno, Dani Parejo, Moi Gómez, Fred, Francis Coquelin, Mario Gaspar, Paul Torres na kipa Gerónimo Rulli.
Na Man United zilifungwa na Juan Mata, Alex Telles, Bruno Fernandes, Marcus Rashford, Edinson Cavani, Albiol, Daniel James, Luke Shaw, Axel Tuanzebe na Victor Lindelof, wakati David de Gea alikosa mkwaju wake ukipanguliwa na kipa mwenzake, Rulli. GONGA KUSOMA ZAIDI
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz