VAN DIJK AREJEA, AANZA MATIZI LIVERPOOL-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

VAN DIJK AREJEA, AANZA MATIZI LIVERPOOL-Michezoni leo

BEKI wa kati Virgil van Dijk ameanza kuwapa furaha mashabiki wa timu yake ya Liverpool baada ya kuweka video mtandaoni ikimuonyesha akifanya mazoezi ya kukimbia ikiwa ni mwendelezo wa kurejea uwanjani.

 

Beki huyo Mholanzi amekuwa nje ya uwanja tangu Octoba mwaka jana baada ya kuumia mfupa wa mguu alipokuwa akiwania mpira na kipa wa Everton, Jordan Pickford.

 

Baada ya kuumia ilielezwa kuwa atakosa msimu wote huu wa 2020/21 uliosalia lakini video hiyo imeanza kuonyesha mwanga mzuri wa kurejea kwake.

 

Kwa hatua ilivyo sasa kuna uwezekano wa kurejea katika moja ya mechi tano za mwisho kabla ya msimu kumalizika.

 

Van Dijk alikuwa akifanya mazoezi hayo katika viwanja vya mazoezi vya Liverpool, ambapo baada ya hapo video hiyo ilipata maoni mengi hasa kutoka kwa mashabiki wa timu yake.“Rudio utukuokoe” yalisomeka sehemu ya maoni ya mashabiki mtandaoni.

 

Kukosekana kwa Van Dijk kumekuwa na pengo kubwa kwa kuwa timu yake imeyumba katika safu ya ulinzi kiasi cha kumvuruga kichwa Kocha Jurgen Klopp hasa kwa kuwa pia alipata majeruhi wengine kadhaa katika nafasi ya ulinzi.

 

Likimuonyesha akifanya Kwa hatua ilivyo sasa kuna uwezekano wa kurejea katika moja ya mechi tano za mwisho kabla ya msimu kumalizika. mazoezi hayo katika viwanja vya mazoezi vya Liverpool, ambapo baada ya hapo video hiyo ilipata maoni mengi hasa kutoka kwa mashabiki wa timu yake.

 

sehemu ya maoni ya mashabiki mtandaoni.kumekuwa na pengo kubwa kwa kuwa timu yake imeyumba katika safu ya ulinzi kiasi cha kumvuruga kichwa Kocha Jurgen Klopp hasa kwa kuwa pia alipata majeruhi wen

The post VAN DIJK AREJEA, AANZA MATIZI LIVERPOOL appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz