Uefa Yafuta Sheria ya Bao la Ugenini-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Uefa Yafuta Sheria ya Bao la Ugenini-Michezoni leo

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu barani Ulaya, UEFA limefuta sheria ya bao la ugenini, ambayo imetumika kwa miaka 56, Sheria hiyo, imetenguliwa  bodi ya Uefa iliyoketi jana ijumaa Mei 28.

Muundo wa  sasa  unatumika  kwenye michuano ya Amerika Kusini,  ambayo hakuna bao la ugenini.

Itakumbukwa kocha wa zamani wa Arsenal Arsene Wenger aliwahi kulalamikia hadharani na kuitaka Uefa kuingalia upya sheria hiyo.

Msimu wa 2018/19 Manchester City na Ajax Amsterdam walikuwa wahanga wa sheria hii licha ya ushindi waliopata walitolewa nje ya michuano kwa goli la ugenini.

The post Uefa Yafuta Sheria ya Bao la Ugenini appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz