Uchomaji miili ya corona India wafanyika mbugani - EDUSPORTSTZ

Latest

Uchomaji miili ya corona India wafanyika mbuganiNchi ya India imerekodi vifo vya watu 4,187 kwa siku moja hii leo Mei 8 na kufikisha idadi ya vifo vitokanavyo na corona kufikia 238,270 tangu mlipuko uingie nchini humo

Uchomaji wa miili ya waliofariki kwa ugonjwa wa CORONA India Ikifanyika

Maeneo ya kuhifadhi miili ya marehemu na yale ya kuchomea miili yamejaa kiasi cha kusababisha miili kwenda kuchomewa katika maeneo ya kuegesha magari na mbuga

India imefikisha wagonjwa wa corona wapatao milioni 21.9 huku wataalamu wa afya wakionesha wasiwasi wa kuongezeka vifo na wagonjwa kufuatia maambukizi mapya yanayotarajiwa katika mwezi huu na kushauri uchukuliwaji wa hatua za mapema.

Waziri Mkuu wa nchi hiyo Narendra Modi amelaumiwa kwa kushindwa kupatikana kwa oksijeni za matibabu, huku katika taarifa ya serikali ikisema itafanya kila linalowezekana zipatikaneJe wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz