TORRES APIGA HAT TRICK MAN CITY YAICHAPA NEWCASTLE 4-3-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

TORRES APIGA HAT TRICK MAN CITY YAICHAPA NEWCASTLE 4-3-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 TIMU ya Manchester City jana imeibuka na ushindi wa 4-3 dhidi ya wenyeji, Newcastle United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa St. James' Park.
Mabao ya Man City ambao tayari ni mabingwa wa msimu yamefungwa naJoao Cancelo dakika ya 39 na Ferran Torres dakika ya 42, 64 na 66, wakati ya Newcastle yamefungwa na Emil Krafth dakika ya 25, Joelinton dakika ya 45 na ushei na Joseph Willock dakika ya 62.
Manchester City inafikisha pointi 83 baada ya ushindi huo katika mechi ya 36, ikiwazidi pointi 13 mahasimu wao, Manchester United, wakati Newcastle United yenyewe inabaki na pointi zake 39 za mechi 36 katika nafasi ya 16.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz