TID Awapongeza Basata "Basata Endeleeni KUPIGA Kazi Mmeanza Vizuri Wenye Mashairi ya Matusi Hawajaongea Chochote" - EDUSPORTSTZ

Latest


 

TID Awapongeza Basata "Basata Endeleeni KUPIGA Kazi Mmeanza Vizuri Wenye Mashairi ya Matusi Hawajaongea Chochote"


Star muziki wa Bongo Fleva @tidmusic ameweka wazi juu ya maoni/ mitazamo ya Wasanii kufuatia mfumo mpya ulioanzishwa na baraza la sanaa nchini @basata.tanzania

#Tid ameenda mbali zaidi na kusema kuwa hizo ni chuki baina ya wasanii na basata kwa kuwa hawafanyi kazi, huku akiongeza kuwa baraza hilo sasa limeanza kufanya kazi yake vizuri

@tidmusic Ameandika Kuwa 👇🏽

Hapa Kuna tatizo kila mtu Ana chuki Yake na Basata kwa kuwa hawafanyi kazi yao.......kwa kifupi hawasaidii chochote sisi ambao ndio tumeufikisha huu Mziki hapa na kwa Ujumla Sanaa nzima ya Bonglfleva Lakini kwenye Miziki ambayo kimaadili haitakiwi kupromote uchafu kuiedit naona hapo wameanza kufanya kazi labda hawajatoa ufafanuzi wa jinsi gani wataweza kumudu kwa ukubwa.Wakilinyoosha Hilo naona Sasa Ndo wakati wa kuyazungumzia mengine apart from that wasanii mlikuwa wapi siku zote wengine tunapiga kelele kila kukicha Hadi tunajiita Basata tunataka kuchukua Maamuzi mikononi?

Kwenye hili humu naona Kuna utashi sababu Nani kasema hivi mnafata mkumbo wakati wenye Mashairi yenye MATUSI wenyewe Hawajaongea Chochote.

BASATA fanya kazi umeanza vizuriJe wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz