TFF YAMFUNGIA MECHI TANO NA FAINI 500,000 BEKI WA PRISONS BENJAMIN ASUKILE KWA KUWAKASHIFU YANGA SUMBAWANGA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

TFF YAMFUNGIA MECHI TANO NA FAINI 500,000 BEKI WA PRISONS BENJAMIN ASUKILE KWA KUWAKASHIFU YANGA SUMBAWANGA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 BEKI wa Tanzania Prisons, Benjamin Asukile amefungiwa mechi tano kwa kutoa maneno ya kuikashifu klabu ya Yanga Aprili 30, mwaka huu Uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga mkoani Rukwa.
Taarifa ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) leo imesema kwamba, pamoja na adhabu hiyo, mchezaji huyo ametozwa faini ya Sh. 500,000 kwa kosa hilo alilolifanya baada ya mchezo wa Hatua ya 16 Bora ya Azam Sports Federation Cup (ASFC).
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz