Staa Yanga: Nabi Anza na Carlinhos Weka Nje Fei Toto-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Staa Yanga: Nabi Anza na Carlinhos Weka Nje Fei Toto-Michezoni leo

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Makumbi Juma, amesema anatamani kumuona Kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi akimpanga kiungo Carlos Carlinhos dhidi ya Simba pembeni ya Mukoko Tonombe na si Feisal Salum ‘Fei Toto’.

Akizungumza na Spoti Xtra, Makumbi Juma alisema: “Nimependa sana walivyocheza kwa pamoja Carlinhos na Mukoko katika mechi zilizopita, natamani katika mchezo dhidi ya Simba pia kocha wa Yanga awatumie, naamini ushindi utapatikana.

“Carlinhos anajua kupiga pasi fupifupi, ndefu na anatengeneza nafasi nyingi kwa uharaka zaidi tofauti na Feisal ambaye yupo taratibu katika kutengeneza mashambulizi ya timu, hivyo natamani mtu wa kucheza na Mukoko Tonombe pale kati awe Carlinhos badala ya Feisal.”

STORI: MARCO MZUMBE, Dar es Salaam

The post Staa Yanga: Nabi Anza na Carlinhos Weka Nje Fei Toto appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz