Simba Yaichapa Kagera Sugar Kibabe-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Simba Yaichapa Kagera Sugar Kibabe-Michezoni leo

MABINGWA watetezi wa Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) maarufu Kombe la FA, Simba SC, jana walijikatia tiketi ya kufuzu robo fainali ya michuano hiyo baada ya kuichapa Kagera Sugar mabao 2-1, mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Dar.

Katika mchezo huo ulioanza saa 1:00 usiku, Kagera Sugar walikuwa wa kwanza kupata bao kupitia kwa Erick Mwijage aliyefunga kwa kichwa dakika ya 45 na timu hizo kwenda mapumziko matokeo yakiwa Simba 0-1 Kagera.

Kipindi cha pili, Kocha wa Simba, Didier Gomes alifanya mabadiliko kadhaa ambayo yalizaa matunda ambapo Bernard Morrison alifunga dakika ya 55, kabla ya kumpa asisti Meddie Kagere dakika ya 68 na kufunga bao la pili.

 

Kosakosa za hapa na pale zilizotokea baada ya kuingia kwa mabao hayo, hazikubadilisha ubao wa matokeo na hadi mwisho ilikuwa Simba 2-1 Kagera Sugar.

Simba imetinga hatua ya robo fainali ikiungana na Rhino Rangers, Biashara United, Azam, Mwadui, Yanga na Dodoma Jiji, huku akisubiriwa mshindi wa mchezo wa leo kati ya JKT Tanzania na Namungo ili kuhitimisha hatua hiyo kabla ya kwenda robo Fainali.

The post Simba Yaichapa Kagera Sugar Kibabe appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz