SIMBA YACHAPWA 4-0 JOHANNESBURG NA KAIZER CHIEFS ROBO FAINALI YA KWANZA LIGI YA MABINGWA AFRIKA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

SIMBA YACHAPWA 4-0 JOHANNESBURG NA KAIZER CHIEFS ROBO FAINALI YA KWANZA LIGI YA MABINGWA AFRIKA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 TIMU ya Simba SC imechapwa mabao 4-0 na wenyeji, Kaizer Chiefs katika mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika leo Uwanja wa FNB Jijini Johannesburg, Afrika Kusini.
Mabao ya Kaizer Chiefs yamefungwa na Eric Molomowanadou Mathoho dakika ya sita, Samir Nurkovic dakika ya 34 na 57 na David Leonardo Castro CortΓ©s dakika ya 63.
Sasa Simba SC watatakiwa kushinda 5-0 katika mchezo wa marudiano Jumamosi ya wiki ijayo ili kwenda Nusu Fainali kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1975.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz