Simba Wapigwa 4G Ugenini na Kaizer Chiefs-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Simba Wapigwa 4G Ugenini na Kaizer Chiefs-Michezoni leo

MAMBO mabaya yamewakuta wawakilishi wa nchi katika mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Uwanja wa FNB ‘Soccer City’ uliopo Johannesburg nchini Afrika Kusini, leo Mei 15, 2021.

Simba wamefungwa bao 4-0 dhidi ya Kaizer Chiefs kwenye Uwanja wa FNB huku wakitarajia kurudiana Mei 22, katika Uwanja wa Mkapa uliopo Dar es Salaam.

Mabao ya Kaizer Chiefs yamefungwa na  Erick Mathoho 6″, Samir Nurkovic 34″, 57″, Leonardo Castro 63″

Simba sasa watahitaji ushindi wa mabao 5-0 kwenye mchezo wa marudiano utakaopigwa Jumamosi ijayo.

The post Simba Wapigwa 4G Ugenini na Kaizer Chiefs appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz