SIMBA SC WAZAWADIWA SH MILIONI 50 KWA KUFIKA HATUA YA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA AFRIKA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

SIMBA SC WAZAWADIWA SH MILIONI 50 KWA KUFIKA HATUA YA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA AFRIKA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 MDHAMINI mkuu wa Simba  kampuni ya Sportpesa leo imeikabidhi klabu hiyo zawadi ya Sh. Milioni 50 kama zawadi kwa kufika hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Simba SC ilitinga Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa baada ya kuongoza Kundi A mbele ya mabingwa watetezi. Al Ahly ya Misri, AS Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na El Merreikh ya Sudan.
Lakini safari yake katika michuano hiyo ilifikia tamati mbele ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini baada ya kutolewa kwa jumla ya mabao 4-3, ikifungwa 4-0 Johannesburg na kushinda 3-0 Dar es Salaam.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz