SIMBA SC NA DODOMA JIJI DAR, YANGA SC NA MWADUI SHINYANGA ROBO FAINALI AZAM SPORTS FEDERATION CUP-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

SIMBA SC NA DODOMA JIJI DAR, YANGA SC NA MWADUI SHINYANGA ROBO FAINALI AZAM SPORTS FEDERATION CUP-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
MABINGWA watetezi, Simba watamenyana na Dodoma Jiji FC katika Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup mwishoni mwa mwezi huu.
Wapinzani wao wa jadi, Yanga SC wao watatoka tena kuifuata Mwadui FC huko Shinyanga, wakati Azam FC watakuwa wageni wa Rhino Rangers ya Tabora na Biashara United itakutana na Namungo FC.
Mechi zote za Robo Fainali ya ASFC zitachezwa kati ya Mei 24 na 26, mwaka huu na kuonyeshwa LIVE na Azam Sports.

Mshindi kati ya Mwadui FC na Yanga SC atakutana na mshindi kati ya Biashara United na Namungo FC na mshindi kati ya Simba na Dodoma Jiji atakutana na mshindi kati ya Rhino Rangers Azam FC katika Nusu Fainali.
Nusu Fainali zitachezwa kati ya mwishoni mwa Juni na mwanzoni mwa Julai, wakati Fainali itafanyika katikati ya Julai Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz