SIMBA SC KUONDOKA KESHO KWA NDEGE KWENDA MWANZA KUMENYANA NA RUVU SHOOTING MECHI YA LIGI KUU ALHAMISI-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

SIMBA SC KUONDOKA KESHO KWA NDEGE KWENDA MWANZA KUMENYANA NA RUVU SHOOTING MECHI YA LIGI KUU ALHAMISI-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 MABINGWA watetezi, Simba SC wanatarajiwa kuondoka Dar es Salaam kesho asubuhi kwa ndege kwenda Mwanza Alhamisi watacheza mechi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Ruvu Shooting.
Mchezo huo utafanyika Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza kufuatia wenyeji, Ruvu Shooting kuamua hivyo, tofauti na kawaida yao mechi zao dhidi ya Simba na Yanga kuchezea Dar es Salaam badala ya Mlandizi mkoani Pwani, ambao Uwanja wao wa Mabatini haukidhi vigezo vya mechi za mashabiki wengi.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz