SIMBA QUEENS NA YANGA PRINCESS KILA TIMU YATOA WACHEZAJI SITA KIKOSI CHA TWIGA STARS-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

SIMBA QUEENS NA YANGA PRINCESS KILA TIMU YATOA WACHEZAJI SITA KIKOSI CHA TWIGA STARS-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 WATANI wa jadi, Simba Queens na Yanga Princess kila timu imetoa wachezaji sita katika kikosi cha timu ya taifa ya wanawake Tanzania, Twiga Stars.
Jumla ya wachezaji 27 wameitwa katika kikosi cha awali cha Twiga Stars kitakachoingia Kambini Mei 17, 2021 kujiandaa na mechi za kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrima (AFCON).
JKT Queens na Ruvuma Queens ni timu nyingine zilizotoa wachezaji sita, wakati Mlandizi Queens na Fountain Gate zimetoa mchezaji mmoja mmoja huku Mwanahamisi Omar y 'Gaucho' wa C.A.K. ya Morocco ni mchezaji pekee anayecheza nje aliyeitwa.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz