‘Simba na Yanga’ Wagawana Zawadi, Bodaboda Wabeba Mbuzi-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

‘Simba na Yanga’ Wagawana Zawadi, Bodaboda Wabeba Mbuzi-Michezoni leo

MCHEZO mkali wa Soka umekutanisha Timu ya Mashabiki wa Simba na Mashabiki wa Yanga wa Bupandwa wamegawana zawadi ya mshindi wa Shigongo Bonanza Cup kufuatia kutoshana nguvu ndani ya dakika 90 za mchezo huku pia wakitoa sare ya mikwaju ya penati.

Bonanza hilo ambalo liliandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo likiwa na lengo la kuhakikisha michezo na kuibua vipaji vya soka katika Jimbo hilo ambapo wachezaji wa timu zote shiriki walionesha vipaji vyao vya hali ya juu katika Dimba la Bupandwa.

Baada ya kutoshana nguvu dakika 90 za mchezo, refa alitenga matuta ambapo Timu zote ziilifungana bao 5-5, baada ya kuongezwa penati nyingine mbili walifungana penati 7-7, ndipo waandaji na viongozi wa timu hizo wakaamuru zawadi igawanwe na timu zote kutokana na kuingia kwa giza hivyo ikawa vigumu mchezo kuendelea.

Kila timu iliondoka na kitita cha shilingi 100,000, huku mwakilishi wa Mbunge, Ndugu Charles Matiku akieleza kuwa, Bonanza hilo litakuwa endelevu kwa kila wikiendi.

Aidha, mchezo wa awali uliwakutanisha madereva Bodaboda wa Bupandwa na Madereva Bodaboda wa Katwe ambao mpaka dakika 90 zinamalizika walitoshana nguvu na kuamriwa ipigwe mikwaju ya penati ambapo timu ya Bodaboda ya Katwe iliibuka na ushindi wa peneti 6-5 na kujinyakulia zawadi ya Mbuzi mnyama.

The post ‘Simba na Yanga’ Wagawana Zawadi, Bodaboda Wabeba Mbuzi appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz