Sendiga Asema Hana Kinyongo na Waliomfanyia Vurugu - EDUSPORTSTZ

Latest

Sendiga Asema Hana Kinyongo na Waliomfanyia Vurugu

Mkuu wa Mkoa wa Iringa mteule Queen Sendiga, amesema kuwa yeye hawezi kuyabeba mambo yaliyotokea wakati wa kampeni na kuwa nayo hadi leo, kwa kuwa kwenye kampeni kunafanyika mambo mengi ambayo huishia huko huko.
Kauli hiyo ameitoa hii leo Mei 17, 2021, alipohojiwa kuhusu tukio la kuvunjiwa kioo cha gari alilofanyiwa na baadhi ya vijana wa mkoa wa Iringa wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, ambapo yeye alikuwa ni mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha ADC.

Swali "Kuna mahali nadhani ni Iringa walitaka kukupiga wakukuvunjia kioo cha gari, sasa unaenda kuwa Mkuu wa mkoa wa Iringa watu wasije wakakoma wale walifanya mzaha mzaha," aliuliza Paschal Mayala mtangazaji mwalikwa.

"Hizo zilikuwa kampeni zilishamalizika, hayo yatakuwa ni mambo ya kipuuzi sasa na kwenye kampeni huwa kuna mambo mengi mno, huwezi ukaondoka na mambo ya kwenye kampeni ulale nayo na uamke nayo, hayo yalishamalizika muda mrefu," alijibu Queen Sendiga.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz