REAL MADRID YAICHAPA GRANADA 4-1 KATIKA LA LIGA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

REAL MADRID YAICHAPA GRANADA 4-1 KATIKA LA LIGA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 TIMU ya Real Madrid imeibuka na ushindi wa ugenini wa 4-1 dhidi ya Granada katika mchezo wa La Liga  Uwanja wa Nuevo Los CΓ‘rmenes.
Mabao ya Real Madrid yamefungwa na Luka ModriΔ‡ dakika ya 17, Rodrygo dakika ya  45, Odriozola dakika ya 75 na 76 na Karim Benzema dakika ya 76, wakati la Granada limefungwa na Jorge Molina dakika ya 71.
Kwa ushindi huo, Real Madrid inafikisha pointi 78 baada ya kucheza mechi 36 na kusogea nafasi ya pili ikizidiwa pointi mbili Atletico Madrid baada ya wote kucheza mechi 36, wakati Granada ni ya  10 pointi zake 45 za mechi 36 sasa.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz