PRINCE DUBE NA MUDATHIR YAHYA WAFUNGA AZAM FC YAIZIMA BIASHARA UNITED CHAMAZI, YAICHAPA 2-0-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

PRINCE DUBE NA MUDATHIR YAHYA WAFUNGA AZAM FC YAIZIMA BIASHARA UNITED CHAMAZI, YAICHAPA 2-0-Michezoni leo

AZAM FC imeibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Biashara United katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
Mabao ya Azam FC yamefungwa na Prince Dube Mpumelelo dakika ya 11 na Mudathir Yahya Abbas dakika ya 54 na kwa ushindi huo wanafikisha pointi 60 baada ya kucheza mechi 30, ingawa wanabaki nafasi ya tatu, wakizidiwa pointi moja na Yang A SC ambayo pia ina mechi moja mkononi.
Biashara United kutoka Musoma mkoani Mara, yenyewe inabaki na pointi zake 45 za mechi 30 sasa katika nafasi ya nne.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz