PAMBA YABISHA HODI LIGI KUU BAADA YA KUITANDIKA KEN GOLD 4-1 LEO UWANJA NYAMAGANA JIJINI MWANZA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

PAMBA YABISHA HODI LIGI KUU BAADA YA KUITANDIKA KEN GOLD 4-1 LEO UWANJA NYAMAGANA JIJINI MWANZA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 MABINGWA wa zamani wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Pamba SC wamefanikiwa kufuzu hatua ya kuwania kupanda Ligi Kuu msimu ujao baada ya ushindi wa 4-1 dhidi ya Ken Gold leo Uwanja wa Nyamagana Jijini Mwanza.
Pamba wanasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 4-3 kufuatia kufungwa 2-0 kwenye mchezo wa kwanza.
Nayo Transit Camp ya Dar es Salaam imefanikiwa kuwatoa mabingwa wengine wa zamani wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa penalti 5-4 kufuatia sare ya jumla ya 1-1 kila timu ikishinda 1-0 nyumbani, mechi ya marudiano ikichezwa leo Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.


Sasa Pamba na Transit Camp iliyowahi kucheza Ligi Kuu pia zitamenyana na timu zitakazoshika nafasi ya 13 na 14 Ligi Kuu msimu huu kuwania kupanda.
Droo ya mechi hizo itafanyika kesho Dar es Salaam na timu hizo zitacheza mechi mbili nyumbani na ugenini na washindi wa jumla watapanda, au kubaki Ligi Kuu.


Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz