Nay wa Mitego "Kuanzia KESHO Najitoa Basata, Nitaanza Kufanya Mziki Mtaani" - EDUSPORTSTZ

Latest

Nay wa Mitego "Kuanzia KESHO Najitoa Basata, Nitaanza Kufanya Mziki Mtaani"

 Star wa muziki nchini πŸ‡ΉπŸ‡Ώ @naytrueboytz ametangaza kuwa kuanzia siku ya kesho May,6 ataanza kufanya taratibu za kujitoa uanachama wa #Basata, kufuatia sheria yao mpya ya kuzipitia nyimbo za wasanii kabla ya kuzipeleka kwenye vituo vya redio na Tv

#NayWaMitego amethibitisha hilo kupitia ukurasa wake wa instagram akiandika ujumbe ulioashiria kuilaani sheria hiyo mpya

"Kuanzia Kesho Nitakua Nafanya Taratibu Za Kujitoa Uanachama Wa Basata, Kufuatana Sheria Yao Mpya Sitopeleka Wimbo Wangu Wowote Radioni Coz Hautakua Na Kibali Chochote Cha Kupigwa Redioni Kama Sheria Inavyotaka. Nitafanya Mziki Wangu Mtaani.#RaisiWaKitaa" ✍️ .. @naytrueboytz

#ThisIsAfrica #AfricaIsWatchingJe wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz