Namungo Wanogewa Kimataifa-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Namungo Wanogewa Kimataifa-Michezoni leo

TIMU ya Namungo imeondoka jana kuelekea jijini Dodoma kumenyana na JKT Tanzania katika mchezo wa michuano ya shirikisho huku wakiwa na malengo ya kuiwakilisha tena Tanzania kimataifa.

 

Namungo kwa mara ya kwanza imefanikiwa kuiwakilisha Tanzania katika michuano ya kimataifa na kufanikiwa kutinga hatua ya makundi.

 

Mchezo wa mwisho uliopigwa Aprili 28, mwaka huu Cairo nchini Misri dhidi ya Pyramids, Namungo ilipoteza kwa bao 1-0 lililofungwa na Ibrahim Adel dakika ya 65.

Akizungumza na Championi Jumamosi, Ofisa Habari wa Namungo, Kindamba Namlia alisema: “Timu imerejea salama kutoka Misri baada ya kumalizika kwa mchezo wetu wa mwisho wa hatua ya makundi dhidi ya Pyramids.

 

“Tutaondoka na jumla ya wachezaji 26 kuelekea Dodoma ambapo tunatarajia kucheza kwa kufa au kupona ili tupate nafasi nyingine ya kuiwakilisha nchi kwa msimu ujao.“Licha ya kupoteza michezo yote lakini tumepata uzoefu mkubwa ambao utatusaidia kwa msimu unaokuja,” alisema Kindamba.

STORI NA LEEN ESSAU

The post Namungo Wanogewa Kimataifa appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz