Nabi Awekewa Mtego Yanga-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Nabi Awekewa Mtego Yanga-Michezoni leo

KUNA mtego amewekewa Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi kuelekea msimu ujao ambapo ishu kubwa ni kwenye masuala ya kuijenga Yanga ya ushindani zaidi.

 

Hiyo ni baada ya msimu huu kuonekana Yanga inasuasua kiasi cha timu hiyo kubadilisha benchi lake la ufundi mara tatu. Ilianza na Kocha Zlatko Krmpotic, kisha Cedric Kaze kabla ya ujio wa Nabi.

 

Kamati ya Usajili na Ufundi ya Yanga, imesema kwamba, inasubiri ripoti ya benchi la ufundi ambayo wanatarajia kukabidhiwa kabla ya kumalizika msimu huu wa 2020/21, kisha baada ya hapo kufanya usajili wa fasta ili kumkabidhi kocha majembe mapema aanze kuyanoa.

 

Akizungumza na Spoti Xtra, Mwenyekiti wa Kamati ya Ufundi ya Yanga, Dominick Albinus, alisema: “Kwa sasa tunasubiri ripoti ya Kocha Mkuu na benchi lake la ufundi kuona mapendekezo yao kuelekea msimu ujao.

 

 

“Tutaanza kufanya vikao vya kupitia mapendekezo ya usajili baada ya kukabidhiwa ripoti hiyo ambayo tunatarajia kuipokea kabla ya kumalizika kwa msimu huu.

 

“Tutahakikisha katika kipindi cha usajili tunatengeneza timu ambayo itakuwa na ushindani mkubwa ya kupigania makombe yote ambayo yatakuwa mbele yetu.“Kwa msimu huu bado timu inaendelea kupambana mpaka mwisho wa ligi ili kujua ni kitu gani ambacho tunaweza kuvuna lakini lengo letu la ubingwa lipo palepale, halijabadilika.

 

Kuelekea msimu ujao, tutawaongezea mikataba baadhi ya wachezaji na kufanya usajili mzuri kwa ajili ya kuleta ushindani, kisha tutamuachia kocha afanye kazi yake.”

STORI: LEEN ESSAU,DAR

The post Nabi Awekewa Mtego Yanga appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz