"Mtaanu Walikuwa wananiita kigulu, Walinitegeshea Tego" - G Nako Warawara - EDUSPORTSTZ

Latest

"Mtaanu Walikuwa wananiita kigulu, Walinitegeshea Tego" - G Nako Warawara

Leo ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa msanii G Nako Warawara ambaye ameshea "fun fact'' yake ambayo ilimfanya kuteguka mguu wakati anacheza mpira na watu kuanza kumuita jina la kigulu  

"Fun Fact kuhusu mimi ni kipindi nacheza mpira jamaa waliniwekea buyu kwenye mpira, walikuwa wanajua napenda sana mpira hivyo walitengeneza jiwe ambalo limesukwa vizuri kama mpira wakaweka kisha nipige, nilivyopiga mguu ulitenguka kwa hiyo tangu siku hiyo wakawa wananiita kigulu huko mtaani kwetu Makao Mapya Arusha" amesema G Nako 

G Nako kutokea Kampuni ya Weusi anatajwa kama ni mmoja wa wasanii bora kwenye upande wa vitikiio yaani choras killer na ameshatoa hit songs kibao kama mama yeyoo, gusanisha, arosto na kitongaJe wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz