MSHIKA KIBENDERA ALIYEKATAA BAO LA YANGA SC DHIDI YA NAMUNGO FC RUANGWA AFUNGIWA KWA MUDA LIGI KUU-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

MSHIKA KIBENDERA ALIYEKATAA BAO LA YANGA SC DHIDI YA NAMUNGO FC RUANGWA AFUNGIWA KWA MUDA LIGI KUU-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 REFA msaidizi, Abdulaziz Ally amefungiwa kwa muda kuchezesha Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa kuboronga kwenye mchezo kati ya Namungo FC na Yanga SC Jumamosi Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi.
Mshika kibendera huyo alikataa bao la Yanga lililofungwa na Mburkinabe, Yacouba Sogne kwa kichwa akimalizia kona ya Mrundi, Said Ntibanzokiza kipindi cha pili.

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz