Mmiliki wa Kiwanda Bubu Akutwa na Stika za TRA - EDUSPORTSTZ

Latest

Mmiliki wa Kiwanda Bubu Akutwa na Stika za TRAJeshi la Polisi Arusha linamshikilia mwanamke mmoja mkazi wa Sakina ambaye ni msimamizi wa kiwanda bubu kinachozalisha pombe kali na kumkuta akiwa na vitu mbalimbali ikiwemo stika 340 za TRA, chupa 483 za pombe kali, mtambo wa kutengenezea pombe pamoja na pipa lililojaa pombe kali lita 250

Taarifa hiyo imetolewa leo Mei 25, 2021, na Kamanda wa Polisi mkoani humo ACP Justine Masejo, na kuongeza kuwa mbali na vitu hivyo mwanamke huyo pia alikutwa na stika za kiusalama pakiti tatu, stika za pombe 700 na vifungashio vya chupa boksi 23.

"Upelelezi unaendelea na pindi utakapo kamilika jalada litapelekwa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka kwa hatua zaidi za kisheria, nitoe wito kwa wananchi kuendelea kutoa taarifa za uhalifu na wahalifu ili kutokomeza kabisa uhalifu katika mkoa wetu na zoezi hili la ukamataji ni endelevu," amesema ACP Masejo.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz