MESSI APIGA MBILI BARCELONA YAICHAPA VALENCIA 3-2 MESTALLA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

MESSI APIGA MBILI BARCELONA YAICHAPA VALENCIA 3-2 MESTALLA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
MUARGENTINA Lionel Messi jana amefunga mabao mawili, Barcelona ikiwachapa wenyeji, Valencia 3-2 katika mchezo wa La Liga Uwanja wa Mestalla.
Messi alifunga dakika za 57 na 69, wakati bao lingine la Barca lilifungwa na Antoine Griezmann dakika ya 63 na ya Valencia yamefungwa na Carlos Soler dakika ya 83 na Gabriel Paulista dakika ya 50.
Kwa ushindi huo, Barcelona inafikisha pointi 74 sawa na Real Madrid, baada ya wote kucheza mechi 34, ingawa inabaki nafasi ya tatu nyuma ya timu za Madrid, Atletico wakiongoza kwa pointi kwa pointi zao76 za mechi 34 pia.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz