MCHEZAJI WA ZAMANI WA SMALL SIMBA NA TIMU YA TAIFA YA ZANZIBAR AFARILI DUNIA NCHINI CANADA ALIPOKUWA ANAISHI-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

MCHEZAJI WA ZAMANI WA SMALL SIMBA NA TIMU YA TAIFA YA ZANZIBAR AFARILI DUNIA NCHINI CANADA ALIPOKUWA ANAISHI-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 MCHEZAJI wa zamani wa kimataifa wa Zanzibar, Omar Williams aliyekuwa akijulikana kama Leonard Williams amefariki dunia jana Jijini Toronto, Canada alipokuwa anaishi.
Nyota huyo wa zamani wa Small Simba amefariki dunia baada ya kusumbuliwa kwa muda mrefu na ugonjwa wa COVID 19 na mazishi yake yatafanyika huko huko Toronto kesho au keshokutwa.
Mungu ampumzishe kwa amani. Amin.
Omar ‘Leonard’ Williams (kushoto) enzi za uhai wake. Mungu ampumzishe kwa amani.

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz