MBEYA CITY YAITANDIKA RUVU SHOOTING 2-0 NS KUJIONDOA KWENYE ENEO LA HATARI YA KUSHUKA DARAJA LIGI KUU -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

MBEYA CITY YAITANDIKA RUVU SHOOTING 2-0 NS KUJIONDOA KWENYE ENEO LA HATARI YA KUSHUKA DARAJA LIGI KUU -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 TIMU ya Mbeya City imezidi kupambana kuepuka balaa la kushuka Daraja baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Ruvu Shooting kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja Sokoine Jijini Mbeya.
Mabao ya Mbeya City yamefungwa na David Mwasa dakika ya 61 na Juma Luizio dakika ya 63 na kwa ushindi huo wanafikisha pointi 33 baada ya mechi 29 na kusogea nafasi ya 11.
Ruvu Shooting baada ya kupoteza mechi ya leo inabaki na pointi zake 37 za mechi 28 sasa katika nafasi ya nane.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz