Masau Bwire: Tutawakung’uta Simba Tena-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Masau Bwire: Tutawakung’uta Simba Tena-Michezoni leo

OFISA Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire, amesema kuwa watawakung’uta tena wapinzani wao, Simba watakapokutana katika mchezo wao wa Ligi Kuu Bara mzunguko wa pili.

Katika mchezo wa kwanza walipokutana Uwanja wa Uhuru, Ruvu Shooting ilishinda bao 1-0 ilikuwa ni zama za Sven Vandenbroeck ambaye alibwaga manyanga na sasa yupo Kocha Mkuu, Didier Gomes.

Akizungumza na Championi Jumamosi,Bwire alisema kuwa wanajua kwamba wapinzani wao wanafikiria kulipa kisasi ila wasahau suala hilo.

“Tunajua kwamba Simba wanafikiria kulipa kisasi, hilo wasahau kwani sisi tupo tayari kuwapapasa, kuwatingisha na kuwakung’uta kwa mara nyingine tena na kujidhihirisha sisi ni zaidi,” alisema Bwire.Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Juni 3, Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.

Stori: Lunyamadzo Mlyuka, Dar es Salaam

The post Masau Bwire: Tutawakung’uta Simba Tena appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz