Manyika: Yanga Kuwazuia Simba ni Ishu-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Manyika: Yanga Kuwazuia Simba ni Ishu-Michezoni leo

KOCHA wa makipa wa zamani wa Yanga, Manyika Peter amesema kwa namna ambavyo Simba wanavyocheza ni ngumu kukabiliana nao kwa sababu uwezo wao kwa sasa ni mkubwa zaidi ya wachezaji wengi ligi kuu.

 

Simba na Yanga zinatarajiwa kuvaana Jumamosi ya wiki hii, kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara.

 

Manyika ambaye aliwahi kutamba na kikosi cha Taifa Stars miaka ya nyuma, alifunguka kuwa Simba ina wachezaji wengi bora ambao wakati wowote wanaweza kuipa matokeo timu yao na kuongeza kuwa akili yao kwenye soka imekuwa pana zaidi.

 

Akizungumza na Championi, Manyika alisema wapo wachezaji wa Simba wakiwa uwanjani wanakimbiambia bila kuwa na mpira ambapo watu kama hao huonekana kwenye matukio muhimu na ambayo utengeneza hatari kubwa kwa timu pinzani.

 

“Simba kwa sasa wapo levo tofauti, wachezaji wao wengi ni bora tofauti na wengine wengi wanaocheza ligi kuu.

 

Kuna watu wapo pale wanakimbia bila kuwa na mpira, ukiona wameshika mpira basi kuna madhara yanatokea timu pinzani,” alisema kocha huyo wa makipa wa Kagera Sugar.

Issa Liponda, Dar es Salaam

The post Manyika: Yanga Kuwazuia Simba ni Ishu appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz