MAN UNITED YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA FULHAM OLD TRAFFORD-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

MAN UNITED YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA FULHAM OLD TRAFFORD-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 WENYEJI, Manchester United wamelazimishwa sare ya 1-1 na Fulham katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Old Trafford.
United walitangulia kwa bao la Edinson Cavani dakika ya 15 akimalizia pasi ya Bruno Fernandes, kabla ya Joe Bryan kuisawazishia Fulham dakika ya 76 akimalizia pasi ya Bobby De Cordova-Reid.
Kwa matokeo hayo, United wanafikisha pointi 71 baada ya kucheza mechi 37, ingawa wanabaki nafasi ya pili nyuma ya mabingwa tayari, Manchester City wenye pointi 83 za mechi 36, wakati Fulham inafikisha pointi 28 baada ya kucheza mechi 37 katika nafasi ya 18 wakihitaji miujiza tu kubaki Ligi Kuu.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz